Toleo Maalumu

Habari

SERIKALI YAFUNGUA MILANGO KWA WADAU AFCON 2027

Na AMINA KASHEBA  SERIKALI imeendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuhakikisha mashindano ya AFCON 2027 yanafanyika kwa mafanikio makubwa, baada ya kueleza milango ipo wazi kupokea maoni. Hatua hiyo, imekuja baada ya serikali kulipa ada ya ushiriki ya shilingi bilioni 76, hatua inayodhihirisha uzito wa maandalizi hayo. Akizungumza jijini Dar es Salaam, katika mkutano na […]

UMUHIMU KUNYWA MAJI HUU HAPA

Na ZIANA BAKARI JAMII imehimizwa kuzingatia utaratibu wa kunywa maji ya kutosha kila siku kujikinga na athari za kiafya yakiwemo, maumivu ya kichwa, kupata choo kigumu au kukosa kabisa. Pia, imeshauriwa kiafya mtu kunywa lita mbili hadi tatu za maji kwa siku, kwani husaidia kupunguza maumivu ya kichwa, mgongo, mafua na maumivu ya tumbo. Ushauri […]

MZEE MALECELA ASEMA  HAKUNA UTALII BILA AMANI

Na WILLIUM PAUL, Same  MAKAMU wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, amesema suala la utalii mahali popote duniani linaendana na amani na utulivu. Amewasihi wananchi kuhakikisha wanalinda amani kukuza utalii nchini na kuendelea kunufaika kupitia sekta hiyo. Malecela alitoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Tamasha la Same Utalii, lililofanyika kwenye viwanja vya Stendi […]

DK. NCHIMBI: NYERERE MFANO WA UADILIFU

Na SELINA MATHEW, Dodoma MAKAMU wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa vijana kulinda amani na kukataa vishawishi vitakavyolitumbukiza taifa katika vitendo vya ubadhirifu; huku akimtaja Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kuwa kielelezo cha uadilifu. Amesema kufanya hivyo ni kuenzi misingi iliyowekwa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Dk. Nchimbi aliyasema […]

RAIS MSTAAFU MALAWI AWAUSIA WATAZANIA

Na RAMADHANI SEMTAWA MWAKILISHI Maalumu wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Lazarus Chakwera, amewapa nasaha Watanzania kuwa kila mmoja atafute suluhu kutokana na yaliyotokea kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka jana. Chakwera ambaye ni Rais mstaafu wa Malawi, alitoa wosia huo kwa Watanzania, jijini Dar es Salaam, alipokutana na Tume ya […]

UCHAGUZI

WATU 120, 780 KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Na MWANDISHI WETU, Ruvuma WAPIGA Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, watashiriki uchaguzi wa kuchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa […]

WATANZANIA 37,647,235 KUPIGA KURA LEO

Na WAANDISHI WETU TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza maandalizi yote muhimu ya Uchaguzi Mkuu wa wa Rais, Wabunge na Madiwani, yamekamilika.Jumla ya wapigakura 37,647,235, wamethibitishwa kushiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, amesema hayo kupitia taarifa ya tume hiyo na kusisitiza, uchaguzi huo, unafanyika kwa mujibu wa masharti ya Ibara […]

KISHINDO SIKU 60 ZA DK. SAMIA

Na MUSSA YUSUPH,Mwanza SHAMRASHAMRA za maandalizi ya mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu, zimeendelea kuutikisa Mkoa wa Mwanza ambapo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi, wapenzi, wanachama na wakereketwa wa CCM. Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu, katika Uwanja wa CCM […]

DK. MWINYI AJAWA MATUMAINI KIBAO

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wana matumaini kuwa CCM itashinda kwa kishindo katika Uchaguzi wa kesho kutwa. Dk. Mwinyi alisema hayo, katika ufungaji kampeni za Uchaguzi Mkuu wa CCM, uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mjini Unguja Alisema kutokana na wingi wa wanachama […]

DK. NCHIMBI AELEZA MAFANIKIO YA KAMPENI ZA CCM NCHINI

Na NJUMAI NGOTA,UKEREWEMGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amefunga kampeni za Chama kwa kishindo huku akisema amezunguka takribani mikoa yote kwa mafanikio makubwa.Katika mikutano yake ya kampeni, Dk. Nchimbi, ameinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030 na kumwombea kura za Urais, Dk. Samia Suluhu […]

Siasa

ZIARA YA KIHONGOSI MWANZA YAREJESHA MATUMAINI KWA WANANCHI

Na MWANDISHI WETU ZIARA ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi, mkoani Mwanza, imerejesha matumani kwa wananchi wa jiji hilo. Kihongosi ambaye amefanya mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Furahisha, Nyamagana mkoani humo, ametatua baadhi ya changamoto za wananchi papo kwa papo. Miongoni mwa wananchi waliotatuliwa […]

WATU 120, 780 KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Na MWANDISHI WETU, Ruvuma WAPIGA Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, watashiriki uchaguzi wa kuchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa […]

SIKU 100 ZA KAZI NA UTU, ZAIKOSHA CCM

Na ZIANA BAKARI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na mwanzo mzuri wa utekelezaji wa Ilani yake, uliofanyika katika siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, huku kikiwataka Watanzania, kuaminiana na kuzungumza kwa pamoja kwa kuwa jamii inahitaji maridhiano, siyo fujo. Hayo yalibainishwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, alipofanya mahojiano kupitia kipindi […]

TULIENI NYUMBANI

>>Ni agizo la Waziri Mkuu Dk. Mwigulu >>Simbachawene  asema maandamano ni haramu Na IRENE MWASOMOLA SERIKALI imewataka wananchi wasiokuwa na ulazima wa kutoka leo, watulie nyumbani. Agizo hilo limetolewa na Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, alipowasilisha salamu za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ambapo aliwatakia Watanzania kheri. Kupitia […]

KIHONGOSI ATOA MAAGIZO KWA MADIWANI 

Na ATHNATH MKIRAMWENI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani kufanya kazi zinazobeba ajenda za wananchi, zitakazotoa majawabu ya kero katika maeneo yao. Pia, CCM imesema itaendelea kusimamia vyema misingi ya uadilifu kwa watendaji wa Chama. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, jijini Dar es Salaam, alipozungumza na […]

Biashara

YANGA, AL AHLY MECHI YA MAAMUZI

Na NASRA KITANA WAKATI timu ya Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa huo ni mchezo wao wa maamuzi, hivyo hawatakubali kupoteza. Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL),  dhidi ya Al Ahly ya Misri, […]

TRA INAVYOIMARISHA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KUKUZA UCHUMI

Na IRENE MWASOMOLA TANGU kuingia madarakani kwa serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imesaidia kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hakika kazi kubwa imefanyika ya kuongeza makusanyo ya kodi kupitia TRA, hivyo kufanikisha dhima ya serikali ya utekelezaji wa maendeleo kwa wananchi na taifa.  […]

TASAF KIELELEZO CHA MAFANIKIO MIAKA 64 YA UHURU

NA SULEIMAN JONGO WATANZANIA wanaadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ambao ulipatikana Desemba 9, mwaka 1961 huku kukiwa na mafanikio mbalimbali ya mfano. Kupatikana kwa Uhuru kunatokana na msukumo wa wananchi wa Tanzania Bara kutaka kujinasua katika makucha ya wakoloni ambayo hawakutoa nafasi kwa Waafrika weusi kujiletea maendeleo katika sekta mbalimbali zenye […]

SERIKALI YAIVALIA NJUGA TANZANITE

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amesema serikali imejipanga upya kuyatangaza na kuyainua madini ya Tanzanite kimataifa kupitia mkakati wa kurejesha hadhi ya jiwe hilo adimu duniani. Akizungumza katika mkutano na wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini ya vito katika eneo tengefu la ukuta wa Magufuli, Mirerani mkoani Manyara, Waziri Mavunde, alisema hatua […]

DK. MWIGULU ATOA SIKU 10

Na MWANDISHI MAALUMU WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa siku 10 kwa watendaji wa taasisi zinazohusika na usafiri wa mwendokasi jijini Dar es Salaam, kuainisha maeneo ya kufanyiwa kazi haraka, kurejesha hali ya mpito wakati serikali ikitafuta suluhisho la kudumu. “Wizara ya Ujenzi, TANROADS, DART, UDART, OWM-TAMISEMI, TANESCO na wadau wengine, kaeni kuanzia leo (jana), […]

Michezo

SERIKALI YAFUNGUA MILANGO KWA WADAU AFCON 2027

Na AMINA KASHEBA  SERIKALI imeendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuhakikisha mashindano ya AFCON 2027 yanafanyika kwa mafanikio makubwa, baada ya kueleza milango ipo wazi kupokea maoni. Hatua hiyo, imekuja baada ya serikali kulipa ada ya ushiriki ya shilingi bilioni 76, hatua inayodhihirisha uzito wa maandalizi hayo. Akizungumza jijini Dar es Salaam, katika mkutano na […]

DAREVA YAANIKA UMUHIMU WA AMANI

Na SIMON NYALOBI MWENYEKITI wa Chama Cha Mchezo wa Wavu Mkoa wa Dar es Salaam (DAREVA),  Fredy Mshangama, amesema suala la amani lina umuhimu wa kipekee katika kuendeleza michezo. Akizungumza  Dar es Salaam na UHURU, Mshangama alisema kutokana na umuhimu huo, ndiyo maana katika mashindano na vikao vya chama hicho miongoni mwa kauli mbiu wanazozitoa […]

RAIS YANGA AVUNJA UKIMYA KUHUSU  DAMARO

Na MWANDISHI WETU RAIS wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuhusu sakata la usajili wa kiungo wao Mohamed Damaro, akisisitiza kuwa mchezaji huyo ni Mtanzania. Akizungumza na Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC),Dar es Salaam, Hersi alisema leseni ya Damaro pamoja na mfumo wa usajili wa FIFA (TMS) vinamtambua kama Mtanzania. Alifafanua usajili wa […]

 KOCHA SIMBA AITISHA DODOMA JIJI

Na NASRA KITANA WAKATI kikosi cha Simba kikitarajiwa kushuka dimbani leo kupambana na Dodoma Jiji, kocha wa timu hiyo, Steve Barker amesema wamejipanga kupata ushindi. Simba leo itawakaribisha Dodoma jiji katika mchezo wa wake wa 16 bora wa Kombe la Shirikisho(FA), utakaochezwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha saa 10:00 jioni. Akizungumza kuelekea mchezo […]

BONDIA NASRA, VENE WATOA SOMO LA AMANI

Na ZIANA BAKARI BONDIA Nasra Msami, amewahimiza vijana kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani kwa kuepuka kushawishiwa na mtu yeyote kuvuruga amani ya nchi. Akizungumza na UHURU Dar es Salaam , bondia huyo alisema vijana wana nafasi kubwa ya kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na utulivu kupitia maamuzi sahihi na ushiriki wao katika shughuli za kijamii […]

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?