Saturday, December 20, 2025

Toleo Maalumu

Habari

SEKTA YA VIWANDA MHIMILI UJENZI WA UCHUMI WA KATI

Na ELIZABETH JOHN DIRA ya Maendeleo ya Taifa 2050 kupitia sekta ya viwanda na biashara, imeelezwa kuwa, mhimili mkuu wa kuijenga Tanzania ya uchumi wa kati, wa juu, shirikishi na yenye ajira nyingi. Aidha, serikali imesisitiza kuwa, vijana ni nguvu kazi muhimu na walengwa wakuu wa mageuzi ya kiuchumi. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith […]

KICHEKO WAKANDARASI WANAWAKE

Na IRENE MWASOMOLA CHAMA cha Wakandarasi Wanawake Tanzania (TWCA), kimeeleza mambo manane waliyofanikiwa chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Mojawapo ni kuandika historia ya kutekeleza miradi zaidi ya 300 katika kipindi cha miaka mitatu. Pia, kimesema chini ya Rais Dk. Samia, wamefanikiwa kutekeleza mradi wa barabara ya kilometa 20 ya Ruanda Idiwili […]

NEEMA LUKUKI BANDARI KILWA

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imetangaza neema kwa wakazi wa Mkoa wa Lindi kupitia Bandari ya Uvuvi ya Kilwa. Imesema itanunua meli tano na kujenga kongani ya viwanda katika eneo hilo. Hatua hiyo, itasaidia kuongeza fursa za ajira kwa wananchi wa Lindi na kukuza pato la taifa kwa mwananchi mmoja mmoja. Akizungumza wilayani Kilwa alipokagua ujenzi […]

KUTUMIA DINI KWA AJENDA ZA KISIASA NI KUFURU – PAPA LEO

VATICAN CITY, Vatican KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amewakemea viongozi wa kisiasa na wa dini wanaotumia imani za kidini kuhalalisha migogoro na vita, kwani kitendo hicho ni kufuru na dhambi kwa  Mungu. Katika ujumbe wake uliotolewa juzi kuelekea Siku ya Amani Duniani ya Kanisa Katoliki, itakayoadhimishwa Januari mosi, 2026, Papa Leo ambaye ni […]

UCHAGUZI

WATANZANIA 37,647,235 KUPIGA KURA LEO

Na WAANDISHI WETU TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza maandalizi yote muhimu ya Uchaguzi Mkuu wa wa Rais, Wabunge na Madiwani, yamekamilika.Jumla ya wapigakura 37,647,235, wamethibitishwa kushiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, amesema hayo kupitia taarifa ya tume hiyo na kusisitiza, uchaguzi huo, unafanyika kwa mujibu wa masharti ya Ibara […]

KISHINDO SIKU 60 ZA DK. SAMIA

Na MUSSA YUSUPH,Mwanza SHAMRASHAMRA za maandalizi ya mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu, zimeendelea kuutikisa Mkoa wa Mwanza ambapo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi, wapenzi, wanachama na wakereketwa wa CCM. Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu, katika Uwanja wa CCM […]

DK. MWINYI AJAWA MATUMAINI KIBAO

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wana matumaini kuwa CCM itashinda kwa kishindo katika Uchaguzi wa kesho kutwa. Dk. Mwinyi alisema hayo, katika ufungaji kampeni za Uchaguzi Mkuu wa CCM, uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mjini Unguja Alisema kutokana na wingi wa wanachama […]

DK. NCHIMBI AELEZA MAFANIKIO YA KAMPENI ZA CCM NCHINI

Na NJUMAI NGOTA,UKEREWEMGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amefunga kampeni za Chama kwa kishindo huku akisema amezunguka takribani mikoa yote kwa mafanikio makubwa.Katika mikutano yake ya kampeni, Dk. Nchimbi, ameinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030 na kumwombea kura za Urais, Dk. Samia Suluhu […]

MAAGIZO YA DK. MWINYI KWA WATUMISHI Z’BAR

Na MWANDISHI WETU, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza watumishi wa umma kuendelea kufanya kazi kwa uzalendo na uwajibikaji wakizingatia misingi ya utumishi na utawala bora ili kutoa huduma bora kwa wananchi. Amesema lengo la serikali ni kuimarisha zaidi maslahi ya watumishi wa umma nchini, kulingana na […]

Siasa

TULIENI NYUMBANI

>>Ni agizo la Waziri Mkuu Dk. Mwigulu >>Simbachawene  asema maandamano ni haramu Na IRENE MWASOMOLA SERIKALI imewataka wananchi wasiokuwa na ulazima wa kutoka leo, watulie nyumbani. Agizo hilo limetolewa na Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, alipowasilisha salamu za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ambapo aliwatakia Watanzania kheri. Kupitia […]

KIHONGOSI ATOA MAAGIZO KWA MADIWANI 

Na ATHNATH MKIRAMWENI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani kufanya kazi zinazobeba ajenda za wananchi, zitakazotoa majawabu ya kero katika maeneo yao. Pia, CCM imesema itaendelea kusimamia vyema misingi ya uadilifu kwa watendaji wa Chama. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, jijini Dar es Salaam, alipozungumza na […]

WASIRA : VIJANA MSIKUBALI KUTUMIKA KUVURUGA AMANI

Na MWANDISHI WETU MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumika kuvuruga amani na utulivu nchini kwa madai ya kudai haki. Amesema Tanzania haina uadui na nchi nyingine, lakini yapo baadhi ya mataifa, yanayoumizwa na kasi ya maendeleo iliyopo nchini. Amesema wanafahamu Tanzania inaelekea kujikomboa kiuchumi, hivyo kuondoka […]

TUTAILINDA NCHI YETU KWA GHARAMA – PM MWIGULU

Na ELIZABETH JOHN WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, kuwa makini dhidi ya makundi ya watu wenye nia ovu ya kuichafua na kuiharibu Tanzania kwa maslahi binafsi. Dk. Mwigulu, amesema serikali itawalinda Watanzania na rasilimali zake zote kwa gharama yoyote kupitia vyombo vya ulinzi na usalama. Waziri Mkuu, aliyasema hayo kufuatia matukio […]

MAWAZIRI SABA NA MIKAKATI YA KAZI

Na WAANDISHI WETU, Dodoma ZIKIWA zimepita siku nane (Sawa na saa 192), tangu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan awaapishe mawaziri na naibu mawaziri, wametaja vipaumbele vyao katika utekelezaji wa majukumu yao vyenye dhamira ya kuwatumikia wananchi. Baadhi ya mawaziri baada ya kukabidhiwa vijiti vya kuongoza wizara zao, wameeleza walivyojipanga kutimiza ahadi zilizotolewa na Rais Dk. […]

Biashara

TASAF KIELELEZO CHA MAFANIKIO MIAKA 64 YA UHURU

NA SULEIMAN JONGO WATANZANIA wanaadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ambao ulipatikana Desemba 9, mwaka 1961 huku kukiwa na mafanikio mbalimbali ya mfano. Kupatikana kwa Uhuru kunatokana na msukumo wa wananchi wa Tanzania Bara kutaka kujinasua katika makucha ya wakoloni ambayo hawakutoa nafasi kwa Waafrika weusi kujiletea maendeleo katika sekta mbalimbali zenye […]

SERIKALI YAIVALIA NJUGA TANZANITE

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amesema serikali imejipanga upya kuyatangaza na kuyainua madini ya Tanzanite kimataifa kupitia mkakati wa kurejesha hadhi ya jiwe hilo adimu duniani. Akizungumza katika mkutano na wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini ya vito katika eneo tengefu la ukuta wa Magufuli, Mirerani mkoani Manyara, Waziri Mavunde, alisema hatua […]

DK. MWIGULU ATOA SIKU 10

Na MWANDISHI MAALUMU WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa siku 10 kwa watendaji wa taasisi zinazohusika na usafiri wa mwendokasi jijini Dar es Salaam, kuainisha maeneo ya kufanyiwa kazi haraka, kurejesha hali ya mpito wakati serikali ikitafuta suluhisho la kudumu. “Wizara ya Ujenzi, TANROADS, DART, UDART, OWM-TAMISEMI, TANESCO na wadau wengine, kaeni kuanzia leo (jana), […]

TRENI ZA JIJI DAR, DODOMA ZANUKIA

Na ELIZBAETH JOHN MAANDALIZI ya ujenzi wa njia za treni za mijini katika majiji ya Dar es Salaam na Dodoma yameanza rasmi, hatua inayotarajiwa kubadili kwa kiasi kikubwa mfumo wa usafiri wa abiria na kupunguza msongamano wa magari. Akizungumza Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni […]

SIMBASC YAITA MASHABIKI KWA MKAPA

Na NASRA KITANA WAKATI Simba ikitarajiwa kuvaana na Petro de Luanda kesho, uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi wamewaomba mashabiki wake kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuisapoti miamba hiyo. Simba itachuana na Petro de Luanda saa 10:00 jioni katika mchezo wa kwanza wa kundi D wa Ligi ya Mabingwa […]

Michezo

MCHAKATO WA MABADILIKO SIMBA MBIONI KUKAMILIKA

Na NASRA KITANA MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Clesentius Magori amesema pamoja ya ugumu na changamoto walizopitia, hatimaye  mchakato wao wa mabadiliko ya klabu hiyo unakaribia kukamilika. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Magori amesema wanafurahi kuona mchakato huo unaenda kufikia tamati baada ya kupitia changamoto kwa miaka minane. Amesema mabadiliko hayo, […]

YANGA, MAYO USO KWA USO

Na MWANDISHI WETU UONGOZI wa klabu ya Yanga umefungua mazungumzo na  klabu ya Cr Belouizdad kwa ajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji, Khanyisa Mayo.Taarifa iliyopatikana kutoka ndani ya uongozi wa klabu hiyo, imeeleza kuwa mchezaji huyo huenda akasajiliwa muda wowote katika kipindi cha dirisha dogo la usajili. Kanyisa Mayo kwa sasa anaichezea timu ya Kaizer […]

MACHO YA MASHABIKI AFCON 2025 YAPO HAPA RABAT, MOROCCO

MOROCCO MACHO ya mashabiki yapo kuwaangalia nyota mbalimbali watakaoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Michuano hiyo imepangwa kuanza kufanyika Jumapili  katika viwanja mbalimbali nchini Morocco. Mchezaji Achraf Hakimi wa Morocco ni nyota ambaye anasubiriwa kuangaliea vitu atakavyovifanya ndani ya dimba. Mohamed Salah wa Misri hii inaweza kuwa ‘ngoma ya mwisho’ ya […]

SERIKALI MATUMAINI KIBAO AFCON

Na MWANDISHI WETU SERIKALI imesema ina matumaini makubwa, kikosi cha timu ya Taifa Stars kitafanya vizuri katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa, serikali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamefanya maandalizi ya kutosha kuhakikisha timu inafanya vizuri […]

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?